Nenda kwa yaliyomo

Gudula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Gudula katika mchoro mdogo wa Graduale ya Haarlem ya mwaka 1494 (New York Public Library, MA 092, fol. 251).

Gudula (kijiji kimojawapo cha Brabant, leo nchini Ubelgiji, 646 hivi - Hamme, leo nchini Ubelgiji, 680/714) alikuwa mwanamke Mkristo wa karne ya 7 aliyejitosa katika maisha ya sala na matendo ya huruma nyumbani mwake huko Moorsel.

Alikuwa mtoto wa Amalberga wa Maubeuge na dada wa Farailde, Reinilde na Emebati, wote watakatifu[1].

Tangu kale amepewa heshima ya mtakatifu bikira.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Januari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo vikuu

[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo vingine

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.