Antimo na wenzake
Mandhari
Antimo na wenzake (waliuawa Nikomedia, leo nchini Uturuki, 303 hivi au 311-312[1]) walikuwa Wakristo wa mji huo waliouawa katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[2].
Antimo alikuwa askofu wao akakatwa kichwa[3][4]. Wengine walikatwa kichwa vilevile, ila wengine walichomwa moto au walitoswa baharini[5].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 24 Aprili.[6]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Philip Schaff and Henry Wace note that a fragmentary letter preserved in the Chronicon Paschale, as written in prison by the presbyter Lucian of Antioch awaiting death, mentions Anthimus, bishop of Nicomedia, as having just suffered martyrdom. Schaff and Wace note that Lucian was imprisoned and put to death during the persecution of Maximinus Daia (in 311 or 312) and therefore conclude that, if the fragment is genuine, Anthimus suffered martyrdom not under Diocletian but under Maximinus.
- ↑ Schaff and Wace, Nicene and Post-Nicene Fathers, Series II, Vol. I: Book VIII, chapter VI
- ↑ Monks of Ramsgate. “Anthimus”. Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 21 July 2012.
- ↑ "Hieromartyr Anthimus the Bishop of Nicomedia", Orthodox Church in America
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90553
- ↑ Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |