Jeradi wa Toul
Mandhari

Jeradi wa Toul (pia: Gerhard, Geraud; Koln, Ujerumani, 935 hivi; Toul, leo nchini Ufaransa, 23 Aprili 994[1][2]) alikuwa askofu wa mji huo kwa miaka 31, aliyetunga sheria bora akitetea haki na uhuru wa Kanisa dhidi ya serikali, akisaidia kiroho na kimwili fukara na monasteri, pamoja na kuzuia kwa sala na saumu uenezi wa tauni [1][2][3][4].
Papa Leo IX alimtangaza mtakatifu tarehe 21 Oktoba 1050.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 "Saint Gerard of Toul". Saints SQPN. 24 Aprili 2017. Iliwekwa mnamo 4 Oktoba 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - 1 2 "Gerard of Toul, St.". New Catholic Encyclopedia. Encyclopedia.com. 2003. Iliwekwa mnamo 4 Oktoba 2017.
{{cite encyclopedia}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "St. Gerard, Bishop of Toul". Catholic Online. Iliwekwa mnamo 4 Oktoba 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/50580
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |