Paula Frassinetti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Paula.

Paula Frassinetti (Genova, 3 Machi 1809 - Roma, 11 Juni 1882[1]) alikuwa bikira wa Italia kaskazini ambaye alianzisha shirika la Masista wa Mt. Dorothea kwa ajili ya malezi ya wasichana na mayatima[2][3].

Kwa sasa masista wake wako 1,200 katika Ulaya, Afrika, Asia na Amerika ya Kilatini[4] .

Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 8 Juni 1930 na Papa Yohane Paulo II mtakatifu tarehe 11 Machi 1984.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 11 Juni[5][6].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.