Yustini wa Trier
Mandhari
Yustini wa Trier ni mmojawapo katika kundi la Wakristo 12 ambao mwaka 287, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kufa kwa ajili ya imani ya Kikristo katika mji wa Trier (leo nchini Ujerumani)[1].
Tangu kale wafiadini hao wote wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Orodha ya wafiadini wa Trier
[hariri | hariri chanzo]Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/73010
- ↑ Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN 88-209-7210-7)