Kresensi wa Trier
Mandhari
Kresensi wa Trier ni mmojawapo katika kundi la Wakristo 12 ambao mwaka 287, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kufa kwa ajili ya imani ya Kikristo katika mji wa Trier (leo nchini Ujerumani)[1].
Tangu kale wafiadini hao wote wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 5 Oktoba.[2]
Orodha ya wafiadini wa Trier
[hariri | hariri chanzo]- Kresensi wa Trier
- Kostansi wa Trier
- Yustini wa Trier
- Masensi wa Trier
- Palmasi wa Trier
- Leandro wa Trier
- Sotero wa Trier
- Aleksanda wa Trier
- Ormisda wa Trier
- Papiri wa Trier
- Konstanti wa Trier
- Joviani wa Trier
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/73010
- ↑ Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN 88-209-7210-7)