Nenda kwa yaliyomo

Jermano wa Konstantinopoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya kwake akiwa katika mavazi ya ibada.

Jermano I wa Konstantinopoli (Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 634 hivi - Platanion, 732 hivi) alikuwa Patriarki wa mji huo kuanzia mwaka 715 hadi 730[1] alipolazimishwa na kaisari Leo III kujiuzulu na kwenda uhamishoni kwa sababu alikuwa amemkaripia kwa ushujaa kwa kutoa hati dhidi ya heshima kwa picha takatifu[2].

Kabla ya hapo alikuwa ametetea imani sahihi kuhusu utashi wa kibinadamu wa Yesu Kristo.

Maandishi yake machache yametufikia [3]; kati yake ni maarufu zaidi yale kuhusu Bikira Maria[4].

Anaheshimiwa tangu kale na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Mei[5][6].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Ecumenical Patriarchs".
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92525
  3. Kirsch, Johann Peter. "St. Germanus I." The Catholic Encyclopedia. Vol. 6. New York: Robert Appleton Company, 1909. 24 Jun. 2013
  4. Pope Pius XII included one of his texts in the apostolic constitution proclaiming Mary's assumption into heaven a dogma of the Church.
  5. Martyrologium Romanum
  6. (Kigiriki) Ὁ Ἅγιος Γερμανὸς Πατριάρχης Κωνσταντινουπόλεως. 12 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  • Cameron, Averil; Ward-Perkins, Bryan.; Whitby, Michael (2000). The Cambridge ancient history 14. Late Antiquity: empire and successors, A.D. 425 - 600. Cambridge University Press. ISBN 0-521-32591-9.
  • Gross, Ernie. This Day in Religion. New York: Neil-Schuman Publishers, 1990. ISBN 1-55570-045-4.
  • Mango, Cyril, "Historical Introduction," in Bryer & Herrin, eds., Iconoclasm, pp. 2–3., 1977, Centre for Byzantine Studies, University of Birmingham, ISBN 0704402262
  • Treadgold, Warren (1997). A History of the Byzantine State and Society. Stanford: University of Stanford Press. ISBN 0-8047-2630-2.
  • GERMANO DI COSTANTINOPOLI, Storia ecclesiastica e contemplazione mistica. Traduzione, introduzione e note a cura di Antonio Calisi, Independently published, 2020. ISBN|979-8689839646

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.