Nenda kwa yaliyomo

Rosalia Bikira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Rosalia (kulia) mbele ya Bikira Maria: mchoro wa Anthony van Dyck.
Sanamu yake huko Monterey, California, Marekani.

Rosalia (kwa Kisisili Rusulia; 11301166) alikuwa bikira wa ukoo maarufu wa Palermo, mji mkuu wa kisiwa cha Sicilia, leo mkoa wa Italia.

Alikwenda kuishi kama mkaapweke katika pango juu ya Mlima Pellegrino hadi kifo chake[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Septemba[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. On the cave wall she wrote "I, Rosalia, daughter of Sinibald, Lord of Roses, and Quisquina, have taken the resolution to live in this cave for the love of my Lord, Jesus Christ."
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/69050
  3. For the great expansion of Rosalia's popular cult in Italy as a result of the 1624 plague, see Franco Mormando, "Response to the Plague in Early Modern Italy: What the Primary Sources, Printed and Painted, Reveal" in Hope and Healing: Painting in Italy in a Time of Plague, 1500–1800, ed. G. Bailey, P. Jones, F. Mormando, and T. Worcester, Worcester, Massachusetts: The Worcester Art Museum,2005, pp. 32–34.
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.