Rosa Fransiska Molas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi ya mwaka 1870 hivi.

Rosa Fransiska Molas (jina kamili kwa Kihispaniaː Rosa Francisca Dolors Molas y Vallvé; Reus, Hispania, 24 Machi 1815 - Tortosa, Hispania, 11 Juni 1876) alikuwa sista mwanzilishi wa shirika la Masista wa Bibi Yetu wa Faraja ambalo ndani ya Kanisa Katoliki linahudumia wanawake na wenye shida mbalimbali[1].

Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 1 Mei 1977 na Papa Yohane Paulo II mtakatifu tarehe 1 Desemba 1988[2][3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. St. Maria Rosa Molas Vallvé. Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 9 August 2015.
  2. Maria Rosa Molas Vallvé. Holy See. Iliwekwa mnamo 9 August 2015.
  3. St. Maria Rosa Molas Vallvé. Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 9 August 2015.
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.