Gabrieli wa Bikira Maria wa Mateso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Gabrieli akiwa amevaa kanzu ya shirika lake.

Gabrieli wa Bikira Maria wa Mateso, C.P. (jina la kuzaliwa: Francesco Possenti; Assisi, Umbria, Italia, 1 Machi 1838Isola del Gran Sasso, Abruzzo, Italia, 27 Februari 1862) alikuwa akoliti Mpasionisti aliyefariki mapema kwa kifua kikuu kabla hajafikia upadri[1].

Papa Pius X alimtangaza mwenye heri tarehe 31 Mei 1908, na Papa Benedikto XV alimtangaza mtakatifu tarehe 13 Mei 1920.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.