Nenda kwa yaliyomo

Maria Elizabeti Hesselblad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Maria Elizabeti ujanani.

Maria Elizabeti Hesselblad (Fåglavik, Uswidi, 4 Juni 1870Roma, Italia, 24 Aprili 1957) alikuwa Mkristo wa Kilutheri[1] aliyejiunga na Kanisa Katoliki huko Marekani alipoishi miaka 14 kwa masomo na kazi ya unesi [2][3], halafu akaanzisha upya shirika la Mwokozi Mtakatifu (Wabirgita), akijitosa hasa katika sala, huduma kwa maskini na kuhimiza umoja wa Kanisa[4].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 9 Aprili 2000, halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 5 Juni 2016[5][6].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Juni[7].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Bl. Mary Elizabeth Hesselblad". Catholic Online. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Homily by Pope John Paul II at the beatification of Maria Elisabetta Hesselblad". Vatican News Service.
  3. "Blessed Mary Elisabeth Hesselblad". Abbey of Saint-Joseph de Clairval. 23 Julai 2001. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Blessed Mary Elizabeth Hesselblad". Saints.SPQN.com. 2009-05-28.
  5. Mark Greaves, Swedish Sister who hid Jews from the Nazis is to be canonised Ilihifadhiwa 9 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine., Catholic Herald, 18 December 2015. Accessed 19 December 2015.
  6. Pope Francis Sets Canonization Date For Mother Teresa: Sept. 4
  7. Martyrologium Romanum
  • Agneta af Jochnick Östborn: For Sweden, I have given God my life! Elisabeth Hesselblads calling and Birgittine mission in Sweden, Artos, Skellefteå 1999.
  • Called to Holiness: Blessed Elizabeth Hasselblad, Catholica, Vejbystrand 2000.
  • Lars Cavallin: "Mother Mary Elisabeth Hesselblad OSsS from Fåglavik – pioneer of modern monastic life in Sweden" in Johnny Hagberg (editor): Monasteries and Monastic Life in the Medieval Diocese of Skara, Skara County Historical Society 2007.
  • Marguerite Tjäder: Mutter Elisabeth – Die neue Blüte des Ordens saints Birgitta . EOS-Verlag, Sankt Ottilien 2002, ISBN|3-8306-7116-4.
  • J. Berdonces, Hesselblad, Maria Elisabeth, in Dictionary of the institutes of perfection, vol. IV, Pauline Editions, Milan, 1977, coll. From 1530 to 1531.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.