Domisiani wa Bebron

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Domisiani wa Bebron (pia: wa Bugey; Roma, Italia, 347 hivi - Bugey, leo nchini Ufaransa, 1 Julai 440) alikuwa mmonaki hadi kifo chake katika monasteri aliyoianzisha.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[1][2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Julai[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. nominis.cef.fr Nominis : Saint Domitien.
  2. www.forum-orthodoxe.com Forum orthodoxe francophone : Saints pour le 1er juillet du calendrier ecclésiastique].
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Histoire hagiologique de Belley ou recueil des vies des saints et des bienheureux nés dans ce diocèse, Jean-Irénée Depéry, édition Bottier, 1834, p. 11 à 20. Google livres
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.