Epeneto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Epeneto.

Epeneto (kwa Kigiriki: Ἐπαινετός, Epainetós) alikuwa Mkristo wa karne ya 1 aliyetajwa na Mtume Paulo (Rom 16:5) kama mtu wa kwanza kuongokea Ukristo katika mkoa wa Asia.

Inasimuliwa kwamba baadaye akawa askofu wa kwanza wa Karthago (leo nchini Tunisia) kama si Kartagena (Hispania) au Sirmio (Serbia).

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 30 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Epeneto kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.