Nenda kwa yaliyomo

Epifanio wa Pavia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Epifanio.

Epifanio wa Pavia (438-496[1]) alikuwa askofu wa mji huo (Italia) kuanzia mwaka 466 hadi kifo chake[2].

Pamoja na kuongoza vizuri jimbo lake, alifanya kazi ya mpatanishi wakati wa vurugu kubwa zilizosababishwa na uvamizi wa makabila ya Wagermanik nchini Italia. Pia alijitahidi kukomboa waliotekwa na kujenga upya mji ulioteketezwa.[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni 21 Januari[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. August Neander, 'Allgemeine Geschichte der christlichen Religion und Kirche): '"Epiphanius of Pavia"
  2. Our primary source for Epiphanius' life is the Vita Epifanius written by Magnus Felix Ennodius, who knew him personally, travelling with the bishop on his mission to king Gundobad of the Burgundians in 494-6: Cfr. Vita Epifanius, 7; translated by Genevieve Marie Cook, The Life of Saint Epiphanius by Ennodius: A translation with an introduction and commentary (Washington: Catholic University of America, 1942)
  3. During his lifetime, Epiphanius undertook several church-related missions and exploits. Two of the most significant of these were his journey, as an emissary for the emperor Julius Nepos, to the Visigothic king Euric; and his journey to Ravenna, where he confronted Theodoric the Great shortly after his defeat of Odoacer, and pleaded for the restoration of the civic rights of Roman aristocrats who had supported Odoacer. Cfr. A. Ferreiro, The Visigoths: Studies in Culture and Society, 1999 |publisher=Brill |location=Leiden |isbn=90-04-11206-5| pages=29}}
  4. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.