Stefano wa Hungaria
Mandhari

Stefano I wa Hungaria (kwa Kihungaria István; kwa Kilatini Stephanus; Esztergom, Hungaria, 967 au 969 au 975 – Esztergom [1][2][3] au Székesfehérvár, 15 Agosti 1038) kabla hajabatizwa aliitwa Vajk na kuwa Mtawala mkuu wa Wahungaria (997 – 1000).
Papa Silvesta II alimfanya mfalme wa kwanza wa Hungaria (1000–1038). Hapo alieneza sana ufalme wake pamoja na Kanisa Katoliki, akilipanga upya na kulipatia mali na monasteri ili kufanya wananchi wake, aliowatawala kwa haki na amani, wajiunge nalo [4].
Papa Gregori VII alimtangaza mtakatifu pamoja na mwanae, Emeriko wa Hungaria na Jeradi Sagredo, mwinjilishaji wa nchi hiyo, tarehe 20 Agosti 1083.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "István halála". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-12. Iliwekwa mnamo 2012-09-08.
- ↑ Esztergom.hu
- ↑ Hankó Ildikó: Királyaink Tömegsírban
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/28850
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- Masomo ya Breviari - Sikukuu za Bwana, za Bikira Maria na za Watakatifu - Ndanda Mission Press 1978, uk 289-291
- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 282-283
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 245
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Stephen I, the First Christian Hungarian King Ilihifadhiwa 22 Januari 2016 kwenye Wayback Machine. (CryingVoice.com)
- His picture on the Hungarian 10,000 forint banknote Ilihifadhiwa 10 Julai 2010 kwenye Wayback Machine.
- a BBC report on Saint Stephen's day celebrations in Hungary
- Procession of the Holy Right Hand of St. Stephen on Videoactive Archived 2013-01-06 at Archive.today
. Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
