Nenda kwa yaliyomo

Aulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aulo (pia: Augulo, Avolo; alifariki karne ya 7) alikuwa askofu wa 9 [1] wa Viviers (leo nchini Ufaransa) katika nusu ya kwanza ya karne ya 7 [2] akijulikana kwa huruma yake iliyomfanya afungue hospitali ya kwanza katika mji huo na kukomboa watumwa wengi [3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Aprili[5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Duchesne, Fastes épiscopaux…, vol. I, p. 236.
  2. Mathon, Bibliotheca Sanctorum, V, col. 873.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/51380
  4. Russo, Bibliotheca Sanctorum, II, col. 384.
  5. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.