Gregori wa Elvira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gregori wa Elvira (alifariki 392 hivi) alikuwa askofu wa Elvira, leo Granada, nchini Hispania, walau kuanzia mwaka 375. Ni maarufu kwa elimu yake na msimamo katika imani sahihi dhidi ya Uario[1][2][3].

Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 24 Aprili[4].

Maandishi[hariri | hariri chanzo]

Aliandika juu ya mambo mbalimbali, hasa kitabu maarufu kuhusu imani kilichosifiwa na Jeromu.[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Florio, De Sancto Gregorio Illiberitano, libelli de Fide auctore (Bologna, 1789)
  • Morin, Les Nouveaus Tractatus Origenis et l'heritage litteraire de l'eveque espagnol, Gregoire d'Illiberis in Revue d'historie et de literature relig. (1900, V, 145 sq.)
  • Bardenhewer, Patrologie, tr. Shahan (St. Louis, 1908), 415
  • Gams, Kirchengeschichte vom Spanien (Ratisborn, 1864), II, 256 sq.
  • Kruger, Lucifer, Bischof von Calaris, und das Schisma der Luciferianer (Leipzig, 1886), 76 sq.
  • Leclerqu, L'Espagne chrétienne (Parish, 1906), 130 sq.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.