Nenda kwa yaliyomo

Akonsi na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akonsi na wenzake Nono, Erkulano na Taurino (walifariki Fiumicino, karibu na Roma, Italia) walikuwa Wakristo waliouawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 5 Septemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.