Erkolani wa Brescia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Erkolani wa Brescia (alifariki Campione del Garda, Italia, karne ya 6 BK) anakumbukwa kama askofu wa 18 wa Brescia (Italia Kaskazini).

Baada ya kuongoza jimbo inasemekana alikwenda kuishi upwekeni huko alikofariki[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Agosti.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/65900
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.