Gaudioso wa Brescia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Gaudioso alivyochorwa na Romanino[1][2].

Gaudioso wa Brescia (alifariki 445 hivi) anakumbukwa kama askofu wa 12 wa Brescia (Italia Kaskazini) kwa muda wa miaka 13 hivi[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Machi[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://catholicsaints.info/saint-gaudiosus-of-brescia/
  2. https://www.nationalgallery.org.uk/paintings/girolamo-romanino-saint-gaudioso
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/44160
  4. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.