Stanislaus Kostka
Mandhari

Stanislaus Kostka (Rostkowo, leo nchini Polandi, 28 Oktoba 1550 – Roma, Italia, 15 Agosti 1568[1]) alikuwa kijana mnovisi katika shirika la Wajesuiti.
Ili kujiunga nalo alitoroka nyumbani na kwenda kwa miguu hadi Roma, alipopokewa na Fransisko Borja. Aliwahi kufariki dunia kutokana na uchovu katika kutoa huduma duni zaidi[2].
Tarehe 9 Oktoba 1605 alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri, halafu tarehe 31 Desemba 1726 akatangazwa na Papa Benedikto XIII kuwa mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "MESSAGE OF THE HOLY FATHER FRANCIS FOR THE 450TH ANNIVERSARY OF THE DEATH OF SAINT STANISLAUS KOSTKA". Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/66200
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 401-403
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 355-356
Marejeo ya lugha nyingine
[hariri | hariri chanzo]- Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co., 1924.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
