Ipasi wa Bitinia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ipasi wa Bitinia (kwa Kigiriki: ‘Υπατος Hypatos; 366 - 446) alikuwa mkaapweke, labda kutoka Frigia, halafu abati wa wafuasi wake wengi huko Kalsedonia, leo nchini Uturuki.

Alikataa maelekezo ya baba yake mwanafasihi akashika maisha magumu ya kitawa.

Alipinga mafundisho ya patriarki Nestori.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu[1].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 17 Juni[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.