Nenda kwa yaliyomo

Rogeli na Abdala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rogeli na Abdala (walifariki Cordoba, Hispania, 852) walikuwa Wakristo kutoka Syria waliouawa na watawala Waislamu kwa kukatwa kwanza mikono, halafu miguu na hatimaye kichwa bila kuyumba hata kidogo [1].

Rojelo alikuwa mmonaki mzee, Abdalah alikuwa kijana. Waliingia mskitini na kuanza kuhubiri Injili.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 16 Septemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.