Maria Teresa Chiramel

Kaburi la Mt. Maria Teresa.
Maria Teresa Chiramel (Puthenchira, huko Kerala, 26 Aprili 1876 - Thrissur, Kerala, 8 Juni 1926) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar nchini India.
Baada ya kuishi muda mfupi kama mkaapweke, alianzisha shirika la Masista wa Familia Takatifu[1][2][3][4].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 9 Aprili 2000 akatangazwa mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 13 Oktoba 2019[5].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Juni[6]
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Blessed Mariam Thresia Mankidiyan. Saints SQPN (4 June 2016). Iliwekwa mnamo 11 October 2016.
- ↑ Mariam Thresia Chiramel Mankidiyan (1876–1926). Holy See. Iliwekwa mnamo 11 October 2016.
- ↑ A Timeline of Bl. Mariam Thresia. Bl. Mariam Thresia. Iliwekwa mnamo 11 October 2016.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90017
- ↑ Pope to canonize Newman and four others on 13 October - Vatican News (1 July 2019). Iliwekwa mnamo 17 October 2019.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Official website Archived 13 Mei 2021 at the Wayback Machine.
- History Puthenchira Archived 23 Februari 2022 at the Wayback Machine.
- Video katika YouTube
- Hagiography Circle
- Holy See
- Santi e Beati
- സ്വന്തം പുത്തന്ചിറ ചരിത്രവഴികളിലൂടെ, Dec. 2014 (Book in Malayalam by Sunil Villwamangalath on the history of Puthenchira, village of St. Mariam Thresia).
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |