Yohane Twenge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Yohane Twenge katika mchoro mdogo.

Yohane Twenge (pia: John of Bridlington, John Thwing, John of Thwing, John Thwing of Bridlington; Thwing[1], 1320 - 10 Oktoba 1379) alikuwa kanoni Mwaugustino wa Uingereza ambaye alisifiwa kwa uadilifu, elimu, ukarimu na karama.

Papa Bonifas IX alimtangaza kuwa mtakatifu mwaka 1401[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Wilson, Mike. "St John of Bridlington", Bridlington.net Archived 17 Juni 2013 at the Wayback Machine
  2. The canonisation had been doubted and disputed; but the original Bull was unearthed in the Vatican archives by T. A. Twemlow, who was engaged in research work there for the British government.
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.