Filipo Benizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake huko Padova.

Filipo Benizi, O.S.M. (Firenze, Italia, 15 Agosti 1233 - Todi, Italia 23 Agosti 1285) alikuwa padri mtawa wa shirika la Watumishi wa Maria.

Ingawa aliingia utawani abaki bradha, baadaye alipadrishwa akafikia kuwa mkuu wa shirika lote (1267)[1][2].

Alitangazwa na Papa Inosenti X kuwa mwenye heri tarehe 8 Oktoba 1645, halafu Papa Klementi X alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Aprili 1671.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 22 Agosti[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. [1]
  2. "Lives of the Saints, For Every Day of the Year," edited by Rev. Hugo Hoever, S.O., Cist., Ph.D., New York: Catholic Book Publishing Co., 1952, p.332
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.