Robati wa Newminster

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu yake ndogo katika mimbari ya Baumgartenberg, Austria.

Robati wa Newminster (Craver, North Yorkshire, Uingereza, 1100 hivi – Morpeth, Northumbria, 7 Juni 1159) alikuwa padri mwanajimbo ambaye aliingia monasteri ya Wabenedikto[1] ambayo baadaye ilijiunga na urekebisho wa Citeaux[2]. Baadaye alipata kuwa abati wa monasteri mpya kwa miaka 21 hadi kifo chake[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.