Nenda kwa yaliyomo

Verisimo, Masima na Julia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Políptico dos Santos Mártires Veríssimo, Máxima e Júlia (Lisboa) Shule ya Kireno (Garcia Fernandes, 1530 hivi)[1].

Verisimo, Masima na Julia (walifariki Lisboa, leo nchini Ureno) walikuwa ndugu Wakristo ambao waliuawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[3] kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 1 Oktoba[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Manuel Batoréo (2010). "A iconografia dos Santos Mártires de Lisboa em quatro pinturas do século XVI: linguagem e significados". Cultura (kwa Portuguese). 27. Cultura [Online]: 187–199. doi:10.4000/cultura.328. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2015.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/72560
  3. http://orthodoxengland.org.uk/oeportug.htm
  4. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.