Mamas wa Kaisarea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Mamas katika dirisha la kioo cha rangi, kazi ya Emile Hirsch; Église Saint-Jean-Baptiste, Sceaux, Hauts-de-Seine, Ufaransa.

Mamas wa Kaisarea (Kaisarea wa Kapadokia, leo nchini Uturuki, 259-276) alikuwa mvulana aliyewahi kufiwa wazazi wake wafiadini Theodoto na Rufina[1][2].

Baada ya kukua na kufanya kazi ya kuchunga porini yeye pia aliuawa kwa imani ya Kikristo katika dhuluma ya kaisari Aurelian[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Agosti[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.