Nenda kwa yaliyomo

Solemni wa Chartres

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Solemni wa Chartres (alifariki Chartres, leo nchini Ufaransa, 24 Septemba 507 hivi) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 483[1][2]. Baadaye aligawa jimbo lake na kumuachia ndugu yake Aventino eneo la Chateaudun[3].

Pamoja na askofu Remi alichangia wongofu na ubatizo wa mfalme wa Wafaranki Klovis I.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Septemba[4][5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. (Kifaransa) Histoire générale, civile et religieuse de la cité des Carnutes et du pays Chartrain, Michel-Jean-François Ozeray, Chartres 1836
  2. (Kifaransa) Article - Nominis
  3. (Kifaransa) Histoire de tous les Archevechez de l'univers, éd. Florentin et Pierre Delaulne, abbé de Commanville, Paris, 1700
  4. Martyrologium Romanum
  5. http://www.santiebeati.it/dettaglio/71960
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.