Trofimo na Talo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Trofimo na Talo (walifariki Laodikea, Syria, karne ya 4 mwanzoni) ni Wakristo waliouawa katika dhuluma ya Dola la Roma wakati wa kaisari Dioklesyano [1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 11 Machi[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.