Mario, Martha, Audifas na Abako
Mandhari
Mario, Martha, Audifas na Abako[1] (walifariki karibu na Roma, Italia[2], mwanzoni mwa karne ya 4) walikuwa familia ya Wakristo, baba, mama na watoto, waliofia dini yao hiyo kwa pamoja wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[3].
Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 19 Januari[4] [5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Form of the names in the Roman Martyrology. In some sources, Marius is called "Maris" and Audifax is placed last.
- ↑ "Father Alban Butler: Saints Marius, Martha, Audifax, and Abachum". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-05-13. Iliwekwa mnamo 2020-04-14.
- ↑ Santi Mario, Marta, Abaco e Audiface
- ↑ Calendarium Romanum, Typis Polyglottis Vaticanis, 1969, p. 113
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder, 1924.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Catholic Encyclopedia entry on the family
- Entry in "Lives of the Saints" by Father Alben Butler
- Santi Mario, Marta, Abaco e Audiface
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |