Abondi wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abondi wa Roma (alifariki Roma, Italia, karne ya 6) alikuwa akifanya kazi kwa unyenyekevu na uaminifu katika Basilika la Mt. Petro[1].

Papa Gregori I alisimulia habari na sifa zake katika kitabu Majadiliano.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 15 Aprili[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.