Elia, Paulo na Isidori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elia, Paulo na Isidori (walifariki Cordoba, Hispania, 17 Aprili 856) walikuwa padri mzee kutoka Beja (Ureno) na wamonaki vijana waliouawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Aprili[2] au 30 Aprili[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/49840
  2. Martyrologium Romanum
  3. Οἱ Ἅγιοι Ἰσίδωρος, Ἠλίας καὶ Παῦλος οἱ Μάρτυρες. 30 Απριλίου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.