Landrada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Landrada akifundisha wajane na watoto.

Landrada (karne ya 7; Ubelgiji, 690/708[1][2]) alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, baada ya kukataa kuolewa, kwa msaada wa askofu Lambati wa Maastricht, alianzisha monasteri katika eneo la Ubelgiji wa leo [3] akaiendesha kama abesi hadi kifo chake[4].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Julai[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Dunbar, Agnes B.C. (1901). A Dictionary of Saintly Women 1. London: George Bell & Sons. uk. 455. 
  2. Baring-Gould, p. 191
  3. Mulder-Bakker, Anneke B. (2002). "Saints without a Past: Sacred Places and Intercessory Power in Saints' Lives from the Low Country". Katika Mulder-Bakker, Anneke B. The Invention of Saintliness. New York: Taylor & Francis. ku. 38–39. ISBN 0-415-26759-5. 
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/61230
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Baring-Gould, Sabine (1914). The Lives of the Saints (toleo la 7th). London: J. Hodges. ku. 191–193. Iliwekwa mnamo 30 May 2023.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.