Kasyo na Viktorini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Kasyo katika kioo cha rangi huko Clermont-Ferrand.

Kasyo na Viktorini (walifariki Alvernia, leo Clermont-Ferrand, nchini Ufaransa, 264 hivi) walikuwa Wakristo ambao waliuawa pamoja na wengine wengi [1] chini ya mfalme Kroko wa Waalemani waliovamia Dola la Roma.

Kabla ya kuongolewa na askofu Austremoni[2], Kasyo alikuwa seneta[3], Viktorini kuhani wa Kipagani[4].

Tangu zamani wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 15 Mei[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Benedictine Monks, Book of the Saints (Kessinger Publishing, 2003), p. 59.
  2. "Diocese of Clermont". Catholic Encyclopedia. 2009. Iliwekwa mnamo April 20, 2009.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "St. Cassius". Catholic Online. 2009. Iliwekwa mnamo April 20, 2009.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/53320
  5. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.