Julius wa Novara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Julius.

Julius wa Novara (Egina, leo nchini Ugiriki, karne ya 4 - kisiwa cha Mt. Julius, karibu na Novara, Piemonte, Italia, 401 hivi) alikuwa padri mmisionari[1].

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 31 Januari[3].

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Alihama kisiwa alichozaliwa pamoja na ndugu yake Juliano akafanye umisionari; hatimaye akahamia Italia Kaskazini alipoinjilisha na kubatiza Wapagani waliokuwepo bado na kugeuza mahekalu yao kuwa makanisa, pamoja na kujenga mengine mengi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.