Paterniani wa Fano
Mandhari
Paterniani wa Fano (Fano, mkoa wa Marche, nchini Italia, 275 - Fano, 13 Novemba 360) kwa miaka 40 alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yao ni tarehe 12 Julai[2] lakini pia 10 Julai, 13 Novemba au 23 Novemba.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Don Giuseppe Ceccarelli: I Vescovi delle Diocesi di Fano, Fossombrone, Cagli e Pergola - Cronotassi Fondazione Cassa di Risparmio di Fano, 2005. a pag. 42
- Alessandra Mingardi, Le Feste di Cervia (La Festa del Patrono: San Paterniano pag. 81), Ediz. Longo Editore Ravenna, 1999
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Saints of November 23: Paternian of Fermo Ilihifadhiwa 24 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- San Paterniano
- Santuario di San Paterniano in Fano Ilihifadhiwa 11 Mei 2006 kwenye Wayback Machine.
- Church of San Paterniano presso Cammoro
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |