Nenda kwa yaliyomo

Antusa wa Konstantinopoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya Mt. Antusa.

Antusa wa Konstantinopoli (pia: Antusa Kijana; Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 750 au 757801 au 808) alikuwa binti Konstantino V, kaisari aliyekataza picha takatifu.

Alipofariki, Antusa alijitosa kuhudumia maskini, kukomboa watumwa, kujenga makanisa na monasteri. Alipofariki hata pacha wake (Kaisari Leo VI) aliyetawala miaka 5, Antusa alikataa kuongoza dola kwa niaba ya mtoto wa Leo, Konstantino VI, akawa mmonaki kwa mikono ya Patriarki Tarasi[1].

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Aprili[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92528
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.