Buonfiglio wa Monaldi
Mandhari
Buonfiglio wa Monaldi (alifariki Monte Senario, Italia, 1 Januari 1262) alikuwa wa kwanza[1] kati ya waanzilishi saba wa shirika la Watumishi wa Maria[2].
Alitangazwa na Papa Klementi XI kuwa mwenye heri tarehe 1 Desemba 1717, halafu Papa Leo XIII alimtangaza mtakatifu pamoja na wenzake tarehe 15 Januari 1888.
Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 17 Februari[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Legenda de origine Ordinis fratrum Servorum Virginis Mariae auctore incerto 1317, a cura di Agostino M. Morini, OSM in: Monumenta Ordinis Servorum Sanctae Mariae (M.O.S.), I, Bruxelles 1897, pp. 60-106.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- 17 February saints Archived 12 Februari 2012 at the Wayback Machine. at St. Patrick Catholic Church
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |