Watumishi wa Maria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Utawa wa Watumishi wa Maria, kwa Kilatini Ordo Servorum Beatae Virginis Mariae (kifupi O.S.M.), ni shirika la maisha ya wakfu aina ya ombaomba katika Kanisa Katoliki.

Ulianzishwa mjini Firenze (Italia) mwaka 1233 hivi, na kundi la waamini maarufu kama waanzilishi saba watakatifu.

Katika lebo ya shirika "S" (Servi) inaendana na "M" (Maria). Taji linaundwa na maua saba, yanayowakilisha waanzilishi wake watakatifu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]