Patroklo wa Troyes
Mandhari

Patroklo wa Troyes (pia: Patroccus, Patroclus, Patroklus, Parre; alifariki takriban 259) alikuwa Mkristo tajiri mkarimu wa mji huo, Galia (leo nchini Ufaransa) katika karne ya 3.
Alifia dini yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma, chini ya utawala wa kaisari Aurelian[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake ni 21 Januari[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Saints Index: Patroclus Ilihifadhiwa 24 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Catholic Online: Patroclus
- Holy Trinity Orthodox: Patroclus
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
