Theodoto wa Marmara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Theodoto wa Marmara (alifariki Marmara Ereğli, leo nchini Uturuki, karne ya 3) alikuwa Mkristo aliyefia dini yake katika dhuluma ya Dola la Roma.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Novemba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.