Nenda kwa yaliyomo

Silvesta wa Chalon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Silvesta wa Chalon (Ufaransa wa leo, karne ya 5 - karne ya 6) alikuwa askofu wa Chalon-sur-Saone.

Alifariki katika mwaka wa 42 wa upadri wake, akiwa na umri na uadilifu mkubwa sawia [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Novemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.