Martino wa Mondragone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Martino wa Mondragone (Roma au sehemu nyingine ya Lazio, 500 hivi - mlima Massico, Campania, Italia, 580) alikuwa mmonaki aliyeishi kama mkaapweke tangu ujanani hadi kifo chake, miaka mingi akiwa amejifungia katika pango dogo sana[1].

Ndiye aliyemuachia Benedikto wa Nursia Monte Cassino (529).

Papa Gregori I alitangaza sifa zake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.