Fereoli wa Grenoble
Mandhari

Fereoli wa Grenoble (pia: Ferjus; alifariki 660 hivi[1][2][3]) alikuwa askofu wa mji huo katika Burgundy, leo nchini Ufaransa, ambaye aliuawa huko kwa kupigwa kwa marungu akiwa anahubiria watu [4]. Wakati huo hata maaskofu wengine waliompinga mfalme Klotari III waliuawa.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Januari.[5]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jean-Joseph-Antoine Pilot Thorey,History of Grenoble and surrounding area from its foundation as the Cularo until today (Baratier brothers, 1829) page 304.
- ↑ Albert DU BOYS, Life of Saint Hughes, (notice chronologique sur les évêques de Grenoble (1837). p333.
- ↑ Bernard Bligny (dir.), Le diocèse de Grenoble, Beauchesne, Paris, 1979.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/37270
- ↑ Martyrologium Romanum
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |