Nenda kwa yaliyomo

Maria Guadalupe Garcia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maria Guadalupe Garcia (maarufu kwa Kihispania kama Mama Lupita; jina la awali: Anastasia Guadalupe Garcia Zavala; Zapopan, Jalisco, 27 Aprili 1878 - Guadalajara, 24 Juni 1963) alikuwa bikira Mkristo wa Meksiko aliyesaidia kuanzisha shirika la Wajakazi wa Mt. Margareta Maria na wa Fukara[1].

Alijulikana kwa imani na huruma kwa maskini na wagonjwa[2][3]

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 25 Aprili 2004, na Papa Fransisko akamtangaza mtakatifu tarehe 12 Mei 2013.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.