Nenda kwa yaliyomo

Amansi wa Rodez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Amansi katika dirisha la kioo cha rangi.

Amansi wa Rodez (alifariki Rodez, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 440 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo [1] kuanzia mwaka 401 hadi kifo chake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Novemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.