Speusipo, Elasipo, Melasipo na Leonila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Speusipo, Elasipo, Melasipo na Leonila (walifariki 175) walikuwa Wakristo wa Kapadokia, leo nchini Uturuki, waliofia dini yao wakati wa dhuluma ya kaisari Marcus Aurelius.

Watatu wa kwanza walikuwa ndugu pacha, wa mwisho bibi yao.

Habari zao ziliandikwa na Neo, baadaye mfiadini mwenzao.

Tangu kale wote wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao ni tarehe 17 Januari[1] au 29 Januari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Speusipo, Elasipo, Melasipo na Leonila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.