Birinus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Birinus katika dirisha la kioo cha rangi huko Dorchester Abbey.

Birinus (600 hivi – 649) alikuwa mmonaki wa Kikolumbani aliyefanywa askofu wa kwanza wa Dorchester[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na kuitwa "mtume wa Wasaksoni wa Magharibi" kutokana na kuingiza ufalme wa Wessex katika Ukristo.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Desemba[2] au 4 Septemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Powicke, 1961, page 219
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • Ford, David Nash (2001). St. Birinus (c. 600-649). Royal Berkshire History. Nash Ford Publishing. Iliwekwa mnamo 16 June 2010.
  • Kimball, Charles (1907). St. Birinus (Berin). Catholic Encyclopaedia. New Advent. Iliwekwa mnamo 16 June 2010.
  • St. Birinus. Catholic Online: Saints and Angels. Catholic Online (2010). Iliwekwa mnamo 1 September 2007.
  • Birinus. Patron Saints Index. Iliwekwa mnamo 1 September 2007.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.